Our Phone: +255-0655 700117                                                                                    

Newsletter Subscription

Receive offers, promotions and fitness tips to your inbox.

Balozi wa Heshima wa Djibhout nchini Tanzania Balozi Said Amin Shamo akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa kituo cha mazoezi Universal Body Fitness kilichopo ndani ya jengo la Shamo Tower,Mbezi beach jijini dar,hafla hiyo imefanyika mwishoni mwa wiki.

 

Makofi na shangwe za furaha zilisikika mara baada ya Balozi wa Heshima wa Djibhout nchini Tanzania Balozi Said Amin Shamo kukata utepe wa kuashiria uzinduzi rasmi wa kituo cha mazoezi Universal Body Fitness kilichopo ndani ya jengo la Shamo Tower,Mbezi beach jijini dar,hafla hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali.

 

 Mkurugenzi wa Universal Body Fitness Bi.Mariam Shamo wa kwanza kulia akiwa na wageni waliohudhuria ufunguzi huo.

 

 baadhi ya washiriki waliohudhuria ufunguzi rasmi wa Universal Body Fitness.

 

C.E.O MonFinance akishea jambo na rafiki yake.

 

 Sehemu ya kupumzikia mara baada ya kumaliza mazoezi

 

 Sehemu ya mazoezi yakiendelea kwa wshiriki wa Universal Body Fitness

 

Pichani shoto ni  Mkurugenzi wa Universal Body Fitness Bi.Mariam Shamo akiwa na baadhi ya wafanyakazi,mara baada ya kufanyika uzinduzi wa kituo hucho kilicho na vifaa vya kisasa.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Universal

Welcome to Universal Body fitness. Our goal is to provide you with the highest quality fitness services to encourage an active and healthy lifestyle.

Where We Are

Opening Hours

Monday
5:30 AM - 10 PM
Tuesday
5:30 AM - 10 PM
Wednesday
5:30 AM - 10 PM
Thursday
5:30 AM - 10 PM
Friday
5:30 AM - 10 PM
Saturday
7 AM - 2 PM
Sunday
7 AM - 2 PM

From The Gym